PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Irene Uwoya achukua fomu ya kugombea ubunge 2015
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  . Baada ya kuona mastaa mbalimbali wakiendelea kujitokeza katika kuchukua fomu za kuwania ubunge 2015 kwa ajili ya kutetea haki za wananc...

 


.

Baada ya kuona mastaa mbalimbali wakiendelea kujitokeza katika kuchukua fomu za kuwania ubunge 2015 kwa ajili ya kutetea haki za wananchi wao, sasa good news ninayotaka kukusogezea ni hii ya mwigizaji wa filamu Irene Uwoya naye amechukua fomu ya kuwania Ubunge viti maalumu mkoani Tabora.


.

Taarifa hizi zimethibitishwa na msanii mwenzake ‘William Mtitu’ kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika ‘Haya kamanda UWOYA anaonekana akichukua fomu ya kuwania viti maalum vya ubunge huko tabora kwa tiketi ya CCM ,
twakutakia mafanikio mema katika safari yako ya kwenda  kuwatumikia wananchi wa TABORA bungeni watanzania wanajua uwezo wako na wanakusubilia jumba jeupe tu pale pale wanapopalilia wengi kwenda‘ – @williammtitu

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top