PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BALOZI OMBENI SEFUE ATEMBELEA BANDA LA 'NHIF' KATIKA MAONYESHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
       Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akipitia taarifa ya huduma zinazotolewa na Mfuko aliyokabidhibiwa na Kaimu Mkuru...

 

   Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akipitia taarifa ya huduma zinazotolewa na Mfuko aliyokabidhibiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Michael Mhando baada ya kutembelea banda hilo katika maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
     Katibu Mkuu Kiongozi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa NHIF katika banda la maonesho ya wiki ya Utumishi.
 Katibu Mkuu Kiongozi akifurahi jambo na Ofisa Masoko na Elimu kwa Umma wa NHIF Grace Michael
   Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (katikati) akibadilishana mawazo na Kaimu Mkurugenzi wa NHIF, Michael Mhando pamoja na Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji wa NHIF, Deusdedit Rutazaa.
  Wananchi wakiendelea kupata huduma katika banda la NHIF
  Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi  Alphayo Kidata akipata huduma ya kupima shinikizo la damu.
 Wanafunzi nao hawakuwa nyuma katika kupata elimu inayohusiana na huduma za Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
  Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF akipitia taarifa ya huduma zinazotolewa bandani hapo, wengine ni Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Athumani Rehani na Meneja wa Masoko na Elimu kwa Umma, Anjela Mziray.
  Picha ya pamoja ya watumishi wa NHIF wanaoshiriki maonesho ya wiki ya Utumishi wa Umma

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top