PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: PIGO KUBWA KATIKA TASNIA YA HABARI NCHINI TANZANIA, SAMUEL CHAMLOMO WA TBC DODOMA AFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Tasnia ya Habari nchini Tanzania imepata pigo kufuatia kifo cha Mwanahabari wa TBC kanda ya Kati Dodoma, Samuel Chamlomo (pichan...



Tasnia ya Habari nchini Tanzania imepata pigo kufuatia kifo cha Mwanahabari wa TBC kanda ya Kati Dodoma, Samuel Chamlomo (pichani) aliyefariki baada ya kuugua ghafla wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi Bungeni mjini Dodoma jana. 

Chamlomo alifariki muda mfupi baada ya kuugua ghafla akiwa kazini.
Samuel Chamlomo enzi za uhai wake akiwa katika sare ya kimichezo wakati wa bonanza la kufunga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015 mjini Dodoma. 
PRINCEMEDIA TZ inaungana na Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na Wafanyakazi wote wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya kumpoteza ndugu yetu Mpendwa.
RAHA YA MILELE UMPE EEBWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI. AMINA

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top