PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: GODBLESS LEMA AWEKA SAINI RASMI MKATABA WA UJENZI WA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTOJIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema wa pili toka kulia kupitia Arusha Development Fund (ArDF) amesaini makubaliano na wafadhili...



Mbunge wa Arusha Mjini, Mh Godbless Lema wa pili toka kulia kupitia Arusha Development Fund (ArDF) amesaini makubaliano na wafadhili kufanikisha ujenzi wa hospitali ya Mama na Mtoto Jijini Arusha wenye thamani ya US$ Mil 3.2 Makabidhiano hayo yamefanyika eneo la Burka katika kiwanja ambacho Lema alikabidhiwa na Mawalla Advoctes mapema leo asubuhi
Baadhi ya wafadhili na mawakili wa mawala waliohudhuria tukio hilo
akiyekaa ni meya wa jiji la Arusha Gaudensi Limo akitafakari jambo katika tukio la utiaji saini wa ujenzi wa hiospitali hiyo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top