PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: ARUSHA YAWEKA HISTORIA YAFURIKA WANANCHI KUSHUHUDIA, EDWARD LOWASSA AKITANGAZA NIA YEKE YA KUWANIA URAISWA AWAMU YA TANO TANZANIA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wananchi wakiangalia moja ya picha zilizowekwa kwenye lango Kuu la kuingia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,kesho M...


Wananchi wakiangalia moja ya picha zilizowekwa kwenye lango Kuu la kuingia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha,kesho Mbunge wa Monduli,Edward Lowassa anatarajiwa kutangaza nia ya kuomba ridhaa ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi kupeperusha bendera kwenye uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Gari lenye vifaa mbalimbali kwaajili ya tukio la kesho likiingia kwenye uwanja huo.Vituo mbalimbali vinatarajiwa kurusha matangazo hayo moja kwa moja.


Mwonekano wa uwanja wa Sheikh Amri Abeid unavyoonekana leo kwaajlii ya maandalizi ya tukio la kesho

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top