Title: HABARI PICHA-DAKTARI WA SHIRIKA LA WAMISIONARI AKIWAPIMA AFYA VIJANA AMBAO NI WAATHIRIKA WA MADAWA YA KULEVYA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5
Des:
Daktari wa Shirika la Wamisionari (Medical Missionaries lifestyle center for East Afrika) Kefa Omari akitoa elimu kwa vijana ambao ni wa...
Daktari wa
Shirika la Wamisionari (Medical
Missionaries lifestyle center for East Afrika) Kefa Omari akitoa elimu kwa vijana ambao ni waathirika wa madawa wanaoishi katika kituo cha Gola
Foundation kilichopo kijiji cha Njoro wilaya ya Arumeru
kinachojishughulisha na watoto na vijana ambao ni waathirika wa madawa
hayo, Daktari huyo alifika katika kituo hicho jana
na kutoa msaada wa kitabibu kwa vijana
hao pamoja na madawa ya kuondoa sumu inayotokana na madawa hayo katika mwili,katikati ni Mkurugenzi
wa Shirika hilo Elisha Maghembe Picha na Ferdinand Shayo
Picha na Ferdinand Shayo
Daktari wa
Shirika la Wamisionari (Medical
Missionaries lifestyle center for East Afrika) Kefa Omari
akimpima afya ya mwili mzima kijana Francis Oni ambaye ni Mwathirika wa
madawa ya kulevya anaeishi katika kituo cha Gola Foundation kilichopo
kijiji cha Njoro wilaya ya Arumeru kinachojishughulisha na watoto na
vijana ambao ni waathirika wa madawa hayo,kipimo cha kisasa kinachotumia kompyuta kitaalamu kinaitwa (QMA). Daktari huyo alifika katika kituo hicho jana
na kutoa msaada wa kitabibu kwa vijana
hao pamoja na madawa ya kuondoa sumu inayotokana na madawa hayo katika mwili.Picha na Ferdinand Shayo
Post a Comment