PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WATANZANIA WAMESHAURIWA KUIMARISHA AFYA ZAO KWA KUFANYA MAZOEZI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Na Ferdinand Shayo, Arusha. Watanzania wameshauriwa kufanya mazoezi ili kuimarisha afya zao na kujikinga na magonjwa nyemelezi pamoja...
Na Ferdinand Shayo, Arusha.
Watanzania wameshauriwa kufanya mazoezi ili kuimarisha afya zao na kujikinga na magonjwa nyemelezi pamoja na kukabiliana na mazingira hatarishi.
Mwalimu wa klabu ya Taekwondo ya AICC iliyoko jijini Arusha David Samson amesema hayo jana wakati wa mazoezi ya klabu hiyo na kuongeza kuwa utamaduni wa kufanya mazoezi unaulinda mwili dhidi ya hatari ya kupata magonjwa .
Wanachama wa klabu hiyo Betty Senny  na Kelvin Gasper ambaye alihitimu mafunzo ya stashahada ya Taekwondo wameeleza manufaa wanayoyapata kwa kufanya mazoezi ni kujikinga na magonjwa hatarishi.
Jenny Senny ni Mwanachama anasema kuwa mazoezi wanayoyafanya yanawasaidia kukabiliana na changamoto za kiafya na kuepuka magonjwa .
Utamaduni wa kufanya mazoezi ni muhimu kwa watanzania kwani unawasaidia kuepuka magonjwa,kuchangamsha mwili na akili .

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top