PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WANAHABARI MAARUFU WAJINYAKULIA DEGREE ZAO ZA MAWASILIANO YA UMMA NA UANDISHI WA HABARI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Kaimu Mgukurugeni wa Uhuru FM, Angela Akilimali (katikati) akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Mawasiliano ya uma ya Chuo K...

Kaimu Mgukurugeni wa Uhuru FM, Angela Akilimali (katikati) akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Mawasiliano ya uma ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) katika mahafali yaliyofanyika hivi katibuni mkoani Kibaha mkoani Pwani.  Kushoto ni Hemed Mbaraka na Mganwa Nzota.
 Wanahabari wa morogoro nao walikula nondo zao katika mahafali hayo.
 Angela Akilimali akiwa na mumewe Hassan Hemedi Chamshama baada ya kumkabidhi shada la maua wakati akimpongeza.
 Toka kushoto ni Idda Mushi wa ITV/Redio One - Morogoro, Angela Akilimali wa Uhuru FM na Hana Mayige  wa TBC wakipozi kwa picha wenye furaha baada ya kula nondo zao. 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top