PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: SIASA ZA ARUSHA: GODBLESS LEMA AVAMIWA NA VIJANA KISHA WAVUNJA KIOO CHA GARI YAKE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Gari la Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Godbless Lema Likiwa limevunjwa Kioo na Watu wasiojulikana ,chanzo cha habari kinadai kuwa Mbunge hajap...


Gari la Mbunge wa Arusha Mjini, Mhe. Godbless Lema Likiwa limevunjwa Kioo na Watu wasiojulikana ,chanzo cha habari kinadai kuwa Mbunge hajapata Madhara Yeyote.


Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Arusha Mjini Magoma Derick Magoma akihakikisha Mbunge yupo shwari pamoja na dhoruba hii.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top