![]() |
| Waimbaji wa nyimbo za injili wa EZEKIEL VISSION wakiwaburudisha waumini wa kanisa la KKKT olorieni jijini Arusha hivi karibuni |
![]() |
| Dokta Hamisi Kigwangala akivalishwa vazi la heshima la kabila la kimasai na waumini wa kanisa la KKT Olorieni jumaili iliyopita katika uzinduzi wa DVD ya MSIFUNI kwaya |
![]() |
| Mchungaji Mkemwa akifanyiwa mahojiano na waandishi wa Habari kanisani hapo |


.jpg)
Post a Comment