PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WATANZIA WAASWA WAMPE SUPPORT MISS TANZANIA HAPPINESS WATIMANYWA KWENYE SHINDANO LA MISS WORLD 2014‏‎
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
     Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Ta...



    Happiness Watimanywa (20) aliyekuwa Redds Miss Tanzania 2013 sasa yuko jijini London Uingereza kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2014. 

Happiness ambaye kwa sasa anashikilia taji la Miss World Tanzania 2014 amesema ana kila sababu ya kurudisha taji nyumbani ikiwa watanzania watamuunga mkono kwa kusambaza video zake katika mitandao mbalimbali ya kijamii.

"Hebu angalia uzuri wa taifa letu, amani, upendo na vivutio mbalimbali vya utalii. Hebu niangalie na mimi mwenyewe... tuna kila sababu ya kurudisha taji nyumbani." alisema Happiness Watimanywa

Shime shime watanzania, tumuunge mkono wa nyumbani kwa ku-retweet, ku-like na ku-share post zake mbalimbali kwa kutumia Hashtag #Happiness4MissWorld
 
HAPPYNESS WATIMANYWA (MISS TANZANIA 2013/2014) ANAHITAJI KURA YAKO KATIKA KINYANG’ANYIRO CHA MISS WORLD MPIGIE KURA MISS TANZANIA HAPPYNESS WATIMANYWA. BAADA YA KUDOWNLOAD APP YA MISS WORLD NENDA VOTE FOR YOUR TOP3 KISHA UMPIGIE MREMBO MWENYE SURA HIYO HAPO KWENYE PICHA KATIKA WATATU UTAKAO WAONA
DOWNLOAD APP  YA  KUPIGA KURA  KATIKA LINK HII  HAPA CHINI

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top