PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKITAZAMA ASALI INAYOZALISHWA NCHINI NA BIDHAA ZA NYUKI KATIKA KONGAMANO LA NYUKI LINALOENDELEA JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelekezo juu ya ufugaji nyuki na  zinazotokana na nyuki alipotembelea banda la shirika la  Farm Afri...
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelekezo juu ya ufugaji nyuki na  zinazotokana na nyuki alipotembelea banda la shirika la  Farm Africa linalotoa mafunzo kwa wafugaji juu ya ufugaji nyuki kushoto ni Mfugaji nyuki Joseph Khufo  . kongamano la nyuki linaloendelea jijini Arusha lengo ni kuhamasisha ufugaji nyuki ili kukuza uchumi na kutunza mazingira.Picha na Ferdinand Shayo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelekezo juu ya ufugaji nyuki na  zinazotokana na nyuki alipotembelea wajasiriamali wa asali katika maonyesho ya asali katika kongamano la nyuki linaloendelea jijini Arusha lengo ni kuhamasisha ufugaji nyuki ili kukuza uchumi na kutunza mazingira.Picha na Ferdinand Shayo

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitazama bidhaa za asali zinazotokana na nyuki alipotembelea maonyesho ya asali katika kongamano la nyuki linaloendelea jijini Arusha lengo ni kuhamasisha ufugaji nyuki ili kukuza uchumi na kutunza mazingira.Picha na Ferdinand Shayo
 
About Author

Advertisement

Post a Comment

Top