Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Ngazi
mbali mbali za Chama cha Mapinduzi alipofika katika viwanja vya Tamarind
Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja alipofika kuzungumza na
Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani katika Mkutano maalum wa mwendelezo wa
ziara zake za kumarisha Chama.

Kikundi
cha Ngoma ya Benibati wakitumbuiza kwa Ngoma hiyo wakati wa Mkutano
maalum wa mwendelezo wa ziara za Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein katika kumarisha Chama uliofanyika leo katika viwanja vya
Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja kwa kuzungumza na
Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapongeza wasanii wa kikundi cha
Benibati kilipotumbiza kwa wajumbe wa Mkutano maalum wa Mabalozi na
Wenyeviti wa Maskani kabla ya kuzungumza nao katika kuimarisha Chama leo
viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja ikiwa
ni mwendelezo wa ziara katika Mikoa ya Unguja.
Baadhi
ya WanaCCM Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani wakimkaribisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika viwanja vya
Tamarind Hotel Kijiji cha Uroa leo kuzungumza na Viongozi hao katika
Mkutano maalum wa kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Kati
Unguja.
Mabalozi
na Wenyeviti wa Maskani Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza nao leo katika
mkutano maalum wa kuimarisha Chama uliofanyika viwanja vya Tamarind
Hotel Kijiji cha Uroa.
Wasoma
Utenzi Warda na Fadhila kutoka Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja
wakihani utenzi wao wakati wa mkutano maalum wa Mabalozi na Wenyeviti wa
Maskani uliohutubiwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
akiwa katika ziara maalum ya kuimarisha Chama cha CCM Mkoa wa Kusini
Unguja.
Katibu
wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja Samia Ramadhan Mpambalyota (kulia)
akikabidhi Taarifa ya kazi ya Mkoa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani
katika viwanja vya Tamarind Kijiji cha Uroa Wilaya ya Kati Unguja leo.
Shemsa
Abdalla Ali jimbo la Koani alipokuwa akisoma risala fupi ya Mabalozi
wakati wa Mkutano wa Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani uliohutubiwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo
Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya
Tamarind HotelKijiji cha Uroa Wilaya ya kati Unguja.
Mwenyekitiwa
CCM Wilaya ya Kati Unguja Hassan Mrisho alipokuwa akizungumza machache
na Kumkaribisha Mwenyekiti CCM Mkoa Kusini Unguja katika mkutano wa
Mabalozi na Wenyeviti wa Maskani uliohutubiwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
Dk.Ali Mohamed Shein leo katika viwanja vya Tamarind Hotel Kijiji cha
Uroa Wilaya ya kati Unguja,[Picha na Ikulu.]
Post a Comment