Kumekua
na makongamano, Mikutano na warsha mbali mbali zihusuzo maswala ya
usalama mitandao katika mataifa mbali mbali ambapo mijadala ya kina
kuhusiana na maswala ya usalama mitandao hufanywa.
Mijadala
yenye nia na madhumuni ya kuangazia macho maswala ambayo hivi sasa
yamekua yakiitikisa dunia.
Tanzania kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH) kwa
kushirikiana na Tume ya Sayansi na Teknolojia kwa Maendeleo ya nchi za
Kusini(COMSAT) na taasisi nyingine wameweza kuandaa warsha ya nne ambapo
imefanyika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.
Taarifa
zaidi juu ya tukio hili pamoja na viambatanishi vingine muhimu vinaweza
kusomeka “HAPA”
“http://ykileo.blogspot.com/2014/10/warsha-ya-maswala-ya-usalama-mitandao.html
KATIBU
MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA PROF. PATRICK MAKUNGU
AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA WARSHA YA USALAMA MITANDAO
AMBAPO TANZANIA IMEKUA MWENYEJI WAKE.
MKURUGENZI MKUU WA COSTECH NCHINI DR. HASSAN MSHINDA AKITOA MANENO MACHACHE KATIKA UFUNGUZI WA WARSHA HIYO.
WASHIRIKI KUTOKA KATIKA MATAIFA MBALI MBALI WAKIENDELEA NA WARSHA.
WASHIRIKI KUTOKA KATIKA MATAIFA MBALI MBALI WAKIENDELEA NA WARSHA.
PICHA YA PAMOJA NJE YA UKUMBI WA MKUTANO
JOPO
LA WANANDAAJI KUTOKEA WA WARSHA YA USALAMA MITANDAO KUTOKEA COMSAT
WAKIBADILISHANA MAWAZO NA WATAALAM WA NDANI KUPANGA MIKAKATI ENDELEVU
NA RAFIKI KUONGEZA UWEZO KWA WATAALAM WA NDANI.
KATIBU MKUU WIZARA YA SAYANSI MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA PROF. PATRICK MAKUNGU (KUSHOTO) AKITAMBULISHWA
NA BWANA YUSUPH KILEO BAADHI YA WASHIRIKI WA WARSHA HIYO - MMOJA KUTOKA
KENYA DR. WAUDO SIGANGA - MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATAALAM WA TEHAMA
NCHINI KENYA PAMOJA NA BWANA. TAJAMMUL HUSSAIN - MSHAURI WA COMSAT
Post a Comment