PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: REDIO 5 ARUSHA YAWAKUTANISHA WANASALAMU KUTOKA MIKOA ZAIDI YA 21,WAFANYA ZIARA KUWAONA WAGONJWA MT.MERU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya Wanasalamu wa kituo cha Redio 5 chenye makao yake makuu njiro jijini Arusha wakikabidhi sehemu ya msaada wao kwa u...
SAM_0696
Vicky Mwakoyo ambaye ni Creative Meneja wa kampuni ya  Tan Communication Media inayomiliki kituo cha Radio 5 Arusha,katikati ni Yacob Simba  na Godfrey Thomas wakiwa wanajadili jamboSAM_0690Kulia ni Lucy Bongole ambaye ni mwanasalamu wakiwa wanajadiliana na wenzake katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru katikati ni Zuhura Mbise maarufu kwa jina la mama Sosy,kushoto ni Sister Monduly
SAM_0752Godfrey Thomas  aka GT katikati akiwa amepozi na mashabiki wake ambao ni wanasalamu kupitia kipindi cha usiku wa moto cha kituo cha Redio 5 jijini Arusha
SAM_0749
Wanasalamu kutoka mikoa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja katika viwanja vya hospitali ya Mt.Meru mara baada ya kufanya ziara ya kuwatembelea wagonjwa

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top