Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za
Binadamu (LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba.
Mkurugenzi
wa Uwezeshaji na Uwajibikaji wa LHRC, Imelda Urrio (kulia) akizungumza
katika mkutano huo. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Dawati la Katiba, Anna
Henga.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk.Helen
Kijo-Bisimba (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari
Dar es Salaam leo, wakati akitoa tamko la maadhimisho ya siku ya kupinga
adhabu ya kifo Duniani. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Idara ya Dawati la
Katiba wa LHRC, Anna Henga na Mkurugenzi wa Uwezeshaji na Uwajibikaji,
Imelda Urrio.
Post a Comment