PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI ZA HIVI PUNDE: TRAFIKI WALIOKUWA WANAFANYA UCHAFU NA SARE ZA SERIKALI, WAFUKUZWA KAZI
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Hii ndiyo picha ya askari hao iliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii wakila ujana na sare za kazi.   JESHI la polisi mko...

Hii ndiyo picha ya askari hao iliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii wakila ujana na sare za kazi.
 
JESHI la polisi mkoani Kagera, limewafuta kazi askari watatu kwa kosa la kupiga picha zilizo kinyume na maadili na kuzisambaza mitandaoni.
picha hiyo hapo juu kuanzia jana ilikuwa ikisambaa kwa kasi katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama facebook na WhatsApp ambapo ilikuwa na vichwa mbalimbali vinavyoelezea uovu huo uliofanywa na askari hao.
 

Kamanda a Polisi Mkoani Kagera Henry Mwaibambe amewataja askari hao kuwa ni 
PC ASUMA MPAJI MWASUMBI mwenye namba F. 7788, 
 PC FADHIL LINGA mwenye namba G.2122 
na WP VERONICA NAZAREMO MDEME 
wote walikuwa askari wa kikosi cha usalama barabarani wilaya ya Misenyi.
 
Mwaibambe, amemtaja PC FADHIL kuwa ndiye aliyepiga picha hiyo na kuisambaza mitandaoni kinyume cha sheria na kuisambaza mitandaoni.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top