PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WATU 30 WAHOFIWA KUFA LEO HUKO MUSOMA BAADA YA MABASI YA MWANZA COACH NA J4 EXPRESS KUGONGANAtunaomba radhi kwa picha zinazoogopesha
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Basi la J4 Express  T677CYC lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach T736AWJ leo...



Basi la J4 Express  T677CYC lililokuwa linatoka Sirari kwenda Mwanza limegongana uso kwa uso na basi la Mwanza Coach T736AWJ leo asubuhi na watu zaidi ya 30 wanahofiwa kupoteza maisha huku webngine kadhaa wakijeruhiwa.
Ajali hiyo mbaya ambayo inaelezwa kuvunja rekodi ya matukio ya ajali ya baravbarani yakihusisha mabasi kuwahi kutokea kwa mwaka huu, imetokea katika eneo la daraja la sabasaba, Musoma wakati moja ya mabasi hayo yakiovateki gari lingine.  PRINCEMEDIATZ itawajuza zaidi kuhusiana na tukio hilo.
Baadhi ya mashuuhuda wakitizama basi la J4 Express  lililogongana na basi la mwanza coach halipo pichani na wengine wakitoa  msaaada wa kuokoa majeruhi toka katika basi hilo
 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top