PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI ZA PUNDE: Trafiki Aliyegongwa na Gari Mbagala Afariki dunia
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiw...

 
ASKARI wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806 CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini Dar es Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.
Mpaka mauti yanamfika, marehemu alikiuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top