PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA ZA MATUKIO KUTOKA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA LEO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pindca na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai wakiteta bungeni mjini ...


Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pindca na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai wakiteta bungeni mjini Dodoma, Septemba 2, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Profesa Costa Mahalu wakiteta, bungeni mjini Dodoma Septemba 2, 2014.




Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi akiwasilisha taarifa ya kamati ya Bunge la Katiba, bungeni mjini Dodoma Septemba 2, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 2, 2014.
 
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top