PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: SHERIA MSUMENO....MWANASHERIA NA WAKILI MAARUFU MBEYA APANDISHWA KIZIMBANI.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
WAKILI wa kujitegemea mkoani Mbeya na mjumbe wa Mkutano mkuu wa CCM Taifa(MNEC) Sambwee...

Akisoma mashtaka mbele ya Hakimu mkazi mfawidhi, Gilbert Ndeuruo, wakili wa serikali, Ahmed Stambuli, alisema kuwa Shitambala anashitakiwa kwa kosa la kuingia kwa jinai kinyume cha kifungu  namba 79 ya mwaka 2014 cha kanuni ya adhabu sura ya 16.
Kwa upande wake wakili wa serikali Stambuli alisema kuwa upelelezi wa kesi hiyo umekamilika na kwamba iko tayari kuanza kusikilizwa na kuiomba mahakama ipange tarehe ya kuanza kuisikiliza kesi hiyo.
Hakimu Ndeuruo aliahirisha kesi hiyo hadi Septemba 10 ambapo itaanza kusikilizwa rasmi.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top