PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU YAJIPANGA KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akio...

Mkurugenzi Msaidizi Habari, Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya
Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw. Cosmas Mwaisobwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya utoaji mikopo kwa mwaka wa  masomo 2014/2015, wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia  ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa.
Baadhi ya Waaandishi wa Habari wakimsikiliza Mkurugenzi Msaidizi Habari,  Elimu na Mawasiliano toka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu Bw.  Cosmas Mwaisobwa wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top