
Barabara
kati ya Kwedizo na Kabuku haipitiki baada ya Lori moja kushindwa
kupanda mlima na hivyo kufunga barabara ambapo kwa sasa magari
yanayotoka Dar es salaam na yale ya kutoka njia ya Tanga hayawezi
kuendelea na safari

Journalist , Enterpreneur, Lecturer and Blogger. Email :ngoboleaa@gmail.com.
Post a Comment