PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MFANYABIASHARA ARUSHA ATUHUMIWA KUFUGA CHATU NYUMBANI KWAKE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  ​​Kijana akiwa amembeba nyoka baada ya kucharangwa kwa mapanga akitoka naye nje ya uzio wa kanisa hilo  Nyoka aina ya chat...

  ​​Kijana akiwa amembeba nyoka baada ya kucharangwa kwa mapanga akitoka naye nje ya uzio wa kanisa hilo
 Nyoka aina ya chatu aliyetolewa nyumbani kwa mfanyabiashara maarufu jijini Arusha Joseph Magesse akivutwa na wananchi kuelekea kwenye kanisa katoliki la karsamatiki eneo la Sakina jijini Arusha ambapo aliuawa kwa kucharangwa na shoka na wananchi wenye hasina na imani hizo za kishirikina
 MMOJA wawananchi akiwa ameshika shoka akiendelea kumchoronga chatu huyo
 Mabaki ya mwili wa chatu huyo baada ya kucharanwa

About Author

Advertisement

Post a Comment

  1. aiiiiii hii noma sanaa kweli usione mtu ni tajiri au anafanya biashara anafanikiwa kweli nyuma yake kuna siri kubwaa'KULIKO TAJIRI KUINGIA MBINGU NI BORA NGAMIA APITE KWENYE TUNDU LA SINDANO

    ReplyDelete

 
Top