PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MAMA LOWASSA ASHEREHEKEA KUADHIMISHA MIAKA 60 YA KUZALIWA KWAKE
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubw...


Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu (Mh. Edward Lowassa),Mama Regina Lowassa (kushoto) akimsikiliza kwa makini Dada yake mkubwa wakati akizungumza machache kwenye hafla fupi ya kusherehekea kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwake iliyofanyika leo nyumbani kwake,Masaki jijini Dar es salaam.

Mama Regina Lowassa akiwa na Marafiki zake wakati hafla hiyo ikiendelea.
Mama Regina Lowassa akipokea zawadi ya Kitabu kutoka kwa mmoja wa Marafiki zake waliohudhulia hafla hiyo.

Wajukuu wakimpongeza Bibi yao.
Mmoja wa wajukuu akitoa burudani.


Watoto wa Mh. Edward na Mama Regina Lowassa,Adda (kushoto) na Pamela Lowassa wakiimba wimbo maalum wa kumpongeza Mama yao kwa kutimiza miaka 60 ya kuzaliwa kwake.


Mama Regina Lowassa akikata keki.
Mama Regina Lowassa akimlisha Keki Mumewe,Mh. Edward Lowassa
Mh. Lowassa nae akalisha keki Mkewe.
Muda wa kufungua Shampein ukawadia.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top