PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAZIRI MEMBE ZIARANI UTURUKI KWA SIKU TATU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
WAZIRI wa Mambo   ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, yuko katika ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Uturuki, kufuat...




Katika ziara hiyo, Waziri Membe, amefuatana na viongozi waandamizi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Wizara ya Viwanda na Biashara, Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Mamlaka ya Majengo Tanzania na Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA).

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top