PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: SHEREHE ZA MUUNGANO ZAFANA VLIVYO JIJINI DSM PITIA HAPA KUONA PICHA NA HABARI ZA MATUKIO YALIYOJIRI......
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
RAISI Kikwete akiwa katika gari la wazi akizunguka uwanjani kuwasalimia watanzania waliojitokeza kusherehekea miaka 50 ya MUUNGANO wa Tanz...
RAISI Kikwete akiwa katika gari la wazi akizunguka uwanjani kuwasalimia watanzania waliojitokeza kusherehekea miaka 50 ya MUUNGANO wa Tanzania

RAISI KIKWETE  na amiri jeshi mkuu  wa nchi pamoja na viongozi wengine waiangalia kwa makini mambo mbalimbali yanayoendelea uwanjani haopo yanayooneshwa na vikosi vya jeshi la wananchi Tanzania na vikosi vingine
wakiwapigia makofi makomandoo wa JWTZ walioonsha ukakamavu wa hali ya juu
sehemu ya umati wa watu waliohudhuria uwanjani hapo wakiimbna wimbo wa TAIFA
moja ya burudani iliyowakonga nyoyo watazamajio uwanjani hapo ni maaskari walioshuka kutoka kwenye ndege kwa kutumia parachuti kamaanavyoonekana pichani hapo juu

makomandoo waliokonga nyoyo za wakazi wengi waliojitokeza kiwanjani hapo
sweepers wakitoa heshima kwa bendera ya TAIFA
PICHA YA KIFARU

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU KATIKA PICHA

Raisi wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Kikwete akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za miaka hamsini ya muungano wa tanaganyika na zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa uhru jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na 

Kikosi cha makomandoo kikipita kwa mwendo wa aina yake wakati wa shrehe za muungano wa miaka 50
Sehemu ya wageni waalikwa waliohudhuria sherehe za miaka 50 ya muungano ambazo zimefanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Kikosi cha makomandoo kikitoa salaam kwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono.
Baadhi ya silaha za kijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha uwezo mkubwa wa jeshi letu.
Kikosi cha Wanamaji.
Ndege za kivita zikilinda ndege ya Rais katika maonyesho ya ndege yaliyofanyika kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya muungano.                                            
Askari wa kikosi cha mwamvuli akishuka kutoka futi 4500 kwenye uwanja wa Uhuru kwenye kilele cha miaka 50.
Rasi Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pongezi mmoja wa wanajeshi wa kikosi cha mwamvuli.
Maandamano ya Pikipiki.
Matembezi maalumu ya kusherehekea miaka 50 ya muungano.
Njiwa wakirushwa juu kama Ishara ya Miaka 50 ya Muungano ambapo watu waliorusha njiwa hao nao wametimiza miaka hamsini (50)
- See more at: http://ubalozini.blogspot.com/2014/04/sherehe-za-miaka-50-ya-uhuru-katika.html#sthash.b2XBTMLe.dpuf

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top