Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na katika ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani mjini Washington DC, Marekani, ambako atapokea
tuzo ya Africa’s
Most Impactful Leader of the Year kwa niaba ya Mhe. Jakaya Mrisho
Kikwete, Rais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania mjini humo leo.
Jarida
hilo linasema kuwa Rais Kikwete alikuwa chaguo kubwa na la kwanza la wasomaji
wa Jarida hilo ambao walipiga kura kupitia njia mbali mbali za mawasiliano za
jarida hilo.
Post a Comment