PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: DSE yaanzisha shindano litakalowajengea wanavyuo utamaduni wa kweka akiba na kuwekeza
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Alexander Ng’winamila akiongea na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Da...


DSE1
DSE2
DSE3
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakifuatilia maada kutoka kwa wataalam wa DES hawapo pichani wakati wa semina kuhusu kujenga utamaduni wa kuweka akiba na kuwekeza, iliyoandaliwa na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) jijini Dar es Salaam. DSE imeanzisha shindano ambalo linatoa fursa kwa wanafunzi kujifunza na kupata uelewa mkubwa kuhusu masuala ya soko la hisa na mitaji.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top