PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: AJALI ZA BARABARANI: BASI LA KAMPUNI YA AM LAMGONGA MWENDESHA BAISKELI MKOANI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Tunaomba radhi kwa picha hizi zenye kusikitisha na kuogofya Mwendesha baiskeli akiwa amelala huku akiwa ameumia vibaya baada ya kugong...

Tunaomba radhi kwa picha hizi zenye kusikitisha na kuogofya

Mwendesha baiskeli akiwa amelala huku akiwa ameumia vibaya baada ya kugongwa na Basi la AM
Basi la AM linaloanya safari zake katika ya mikoa ya Arusha,Singida na Mwanza limemgonga mwendesha baiskeli ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja.
Tukio hilo limetokea  katika eneo la Majengo jijini Arusha likihusisha basi hilo lenye namba za usajili T 588 AUT ambapo mwendesha Baiskeri huyo ameumia vibaya.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top