PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAZAZI WAMUUA BINTI YAO KISA NDOA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Binti aliyeuwawa na wazazi wake huko india na inasemekana Mauji kama haya sio jambo la kawaida kutokea maeneo ya Kusini mwa  India P...



Binti aliyeuwawa na wazazi wake huko india na inasemekana
Mauji kama haya sio jambo la kawaida kutokea maeneo ya Kusini mwa 
India

Polisi nchini India wamesema kuwa mwanamke mwenye umri wa miaka 26 mtaalamu wa Komputa, amepatikana akiwa amenyongwa nyumbani kwao.Wazazi wa mwanamke huyo ambao wanazuiliwa na polisi wamekiri kumuua binti yao kwa sababu aliolewa kinyume na matakwa yao.Mwanamke huyo aliolewa na mfanyakazi ,mwenzake kutoka jamii tofauti siku chache zilizopita.Maafisa wanasema kuwa mauaji kama haya sio kawaida kutokea maeneo ya Kusini mwa India.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top