PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: RIDHIWANI ASHUHUDIA SHULE ILIVYOBAKI HOI BAADA YA KUEZULIWA PAA NA KIMBUNGA KATIKA KIJIJI CHA KIKWAZU, JIMBONI CHALINZE, AAHIDI KUSAIDIA KUIBORESHA TENA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaj...



Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete  akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu iliezuliwa paa na kimbunga  mwanzoni mwa mwaka huu na kubakisha darasa moja tu linalotumika.
Ridhiwani Kikwete akiwahutubia  wakazi wa kijiji cha Kikwazu kata ya Kimanga  wakati wa mkutano wake wa kampeni za ubunge kuwania Ubunge jimbo la Chalinze, leo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top