
ASKOFU
na Nabii George David ‘Geordavie’ wa Kanisa la Geordavie Ministry
‘Ngurumo ya Upako’ lililoko jijini Arusha na Kawe, Dar hivi karibuni
alifanya mkutano mkubwa na kutikisa nchi kwa kuwa na magari ya kifahari
na ndege aina ya helikopta ‘chopa’ iliyokuwa ikirandaranda juu ya anga
kulinda usalama wake.

Katika
mkutano huo uliofanyika Karatu mkoani Manyara hivi karibuni ulishuhudiwa msafara wa Geordavie ambaye hutoa huduma ya uponyaji kwa
njia za miujiza, ukiwavutia watu wengi kwa kuwa ulikuwa na ulinzi mkali
ambao haujawahi kutokea mjini humo.

Mbali
ya kuwa na chopa iliyokuwa ikiimarisha ulinzi ambayo ameinunua hivi
karibuni, askofu na nabii huyo alikuwa na msururu wa magari yenye thamani kubwa
yanayomfanya kutajwa
Post a Comment