Miji kadhaa ya Misri imegeuka na kuwa uwanja wa maandamano ya
wanachama wa Ikhwaanul Muslimiin wanaopinga hukumu ya kifo iliyotolewa
dhidi ya wafuasi 528 wa harakati hiyo.
Leo wafuasi wa harakati hiyo wamemiminika katika barabara kuu ya mkoa
wa Damietta na kufanya maandamano makubwa huku wakishikilia picha za
Muhammad Mursi, aliyekuwa rais wa nchi hiyo. Waandamanaji hao walitoa
nara dhidi ya jeshi la polisi na mahakama ya nchi hiyo na kusisitiza juu
ya udharura wa kurejeshwa utawala wa sheria sanjari na kuachiliwa huru
viongozi wa Harakati ya Ikhwaanul Muslimiin.
Maandamano mengine makubwa ya kupinga hukumu hiyo ya adhabu ya kifo yalifanyika pia hapo jana katika mikoa mingine ya nchi hiyo ikiwemo Sinai ya Kaskazini, Ismaïlia na Port Said. Hukumu imepingwa na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya Misri. Nchi za Ufaransa, Italia, Uinger
Hukumu ya kifo kwa Ikhwan yaendelea kupingwa
Title: Hukumu ya kifo kwa Ikhwan yaendelea kupingwa
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Miji kadhaa ya Misri imegeuka n...
Post a Comment