PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Ajali ya boti yaua 19 Uganda
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Watu wasiopungua 19 wamefariki dunia na...



Msemaji wa polisi ya Uganda katika mkoa wa Albertine Lydia Tumushade amesema uchunguzi unafanyika kujua chanzo na sababu ya ajali hiyo. Hata hivyo amesisitiza kuwa habari zinasema boti hiyo ilikuwa imepakia abiria kupita kiasi. Boti hiyo ilikuwa ikitokea magharibi mwa Uganda ikielekea Jamhuri ya Kidemokrasia ya

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top