Taarifa mpya ya kuifahamu leo May 25, 2018 ni kuhusu Wapelelezi wa
Uholanzi waliokuwa wakichunguza ajali ya ndege ya Malaysia MH17,
wamekamilisha uchunguzi na kuonyesha kuwa ndege hiyo ilipigwa kombora na
Jeshi la Urusi.Ilipigwa na kombora aina ya BUK lililofyatuliwa kutoka eneo lililodhibitiwa na waasi nchini Ukraine. Urusi inasema hakuna silaha zake zilizotumika.
Kisa hicho kilitokea wakati wa mzozo kati ya serikali na waasia wanaoungwa mkono na Urusi.
October, 2015 kamati ya Uholanzi ilisema kuwa ndege hiyo iligongwa na kombora lililotengenezwa nchini Urusi la BUK.
Post a Comment