PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: JENERALI MSTAAFU GEORGE MWITA WAITARA, AIPONGEZA TIMU YA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU DESEMBA 9, MWAKA HUU
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Timu ya wapanda Mlima Kilimanjaro iliongozwa kufika kileleni na Chief Guide wa Kampuni ya Utalii ya Zara ya mjini Moshi Faustine Ch...


Timu ya wapanda Mlima Kilimanjaro iliongozwa kufika kileleni na Chief Guide wa Kampuni ya Utalii ya Zara ya mjini Moshi Faustine Chombo pamoja na viongozi wengine akiwamo Brigedia Jenerali Stephen Mkumbo, Kamanda Brigedi ya Fari aliyeweka Bendera ya Taifa kileleni.

Kiongozi mwingine aliyekuwa kwenye timu hiyo ni Brigedia Jenerali Stanley Mjelwa, Mkuu wa shule Mafunzo ya Infantria pamoja na Balozi Mstaafu Charles Sanga Mwenyekiti Mstaafu wa Bodi ya Utalii.

Mbali ya viongozi hao timu hiyo iliundwa pia na Maofisa kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Maofisa wa Chama cha Urafiki kati ya Tanzania na China, Maofisa wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro (KINAPA) na TANAPA pamoja na Waandishi wa Habari kutoka vyombo mbalimbali nchini. 




Chief Guide kutoka Kampuni ya Utalii ya ZARA Faustine Chombo akifuatiwa na Jenerali George Waitara Mkuu wa Majeshi Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA na wapanda mlima wengine wakitoka kambi ya Horombo kuelekea Kibo Hut





 Jenerali George Waitara Mkuu wa Majeshi Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA akifuwatiwa nyumba na Balozi Mstaafu Charles Sanga wakiendelea na safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikiwa ni Maadhimisho ya Siku ya Uhuru Desemba 9, Mwaka huu 






 Wanahabari nao hawakuwa nyuma Jimmy Mengele wa chanel ten Morogoro likuwa mmoja wa wanahabari waliopanda mlima huo
 Maofisa wa KINAPA, TANAPA na JWTZ wakiwa kwenye mapumziko mafupi 


 Brigedia Jenerali Stephen Mkumbo, Kamanda Brigedi ya Faru akijiandaa kupokea Bendera ya Taifa katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro 
Luteni Lugano Mwakagugu kushoto akimkabidhi bendera ya Taifa Brigedia Jenerali Stephen Mkumbo, Kamanda Brigedi ya Faru wakati wa maadhimisho ya siku ya Uhuru Desemba 9, Mwaka huu kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro 




Timu ya wapanda Mlima ikiwa katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro mara baada ya kufanikiwa kuifikisha Bendera ya Taifa wakati wa maadhimisho ya Uhuru Desemba 9, Mwaka huu 
 Maeneo ya Kilele cha Mlima Kilimanjaro pichani


 Mapokezi ya wapanda Mlima katika lango kuu la Marangu

 Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akimkabidhi Mwenyekiti wa bodi ya TANAPA Jenerali Mstaafu Goerge Waitara maua mara baada ya kushuka Mlima Kilimanjaro 



Meneje Mawasiliano TANAPA Paschal Shelutete kulia akibadilishana jambo Chief Guide wa ZARA Faustine Chombo 



 Jenerali George Waitara Mkuu wa Majeshi Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA akizungumza na timu ya wapanda Mlima Kilimanjaro pamoja na maofisa wa KINAPA pembeni yake ni Brigedia Jenerali Stephen Mkumbo, Kamanda Brigedi ya Faru

Mkuu wa wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro Agness Hokororo akizungumza wakati wa hafla ya kuwapokea wapanda Mlima







 Waongoza watalii kutoka Kampuni ya ZARA kushoto ni Faustine Chombo na Theophili




 Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa Kampuni ya ZARA
 Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa Kampuni ya ZARA
 Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA na Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara akibadilishana mawazo na wafanyakazi wa Kampuni ya ZARA


Chief Guide kutoka Kampuni ya ZARA iliyopandisha wageni mlima Kilimanjaro Faustine Chombo akifanya mahojiano na wanahabari  
Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Kilimanjaro (KINAPA), Betty Loiboki akifanya mahojiano na wanahabari

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top