Title: WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA ATOA PIKIPIKI 200 KWA WANABODABODA MKOANI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5
Des:
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Arusha wakati alipowasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuhu...
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Arusha wakati alipowasili
kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuhutubia mkutano wa hadhara
Desemba 3, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha mkuki na ngao alivyopewa na wazee wa
kimasai wa Arusha kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016. Kushoto ni Mkuu wa
Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa
Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016.
Waendesha
bodaboda wa Arusha wakiingia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini
Arusha kwa maandamano kumsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo, Desemba 3, 2016.
Post a Comment