| Christian Bella akilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika uwanja wa Taifa mjini Kahama usiku wa jana . |
| Chege Chigunda naye alitoa burudani ya kukata na shoka katika uwanja wa Taifa kwenye Tamasha la Tigo Fiesta 2016 Mjini Kahama usiku wa jana. |
| Chege Chigunda |
| Jux akiwa na Dancer wake akitumbuiza wimbo wa Wivu katika jukwaaa la Tigo Fiesta 2016. |
| Maua Sama naye alipamba Tamasha la Tigo Fiesta 2016 katika Uwanja wa Taifa Mjini Kahama usiku wa Jana. |
| Rayvany naye akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fista 2016 ambapo aliwasimulia wananchi wa Kahama stori ya "KWETU" na jinsi anavyotafuta "KIKI" |
| Stamina akitoa michano katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 usiku wa jana katika Uwanja wa Taifa . |
| Maelfu ya wakazi wa Kahama na maeneo jirani wakishuhudia burudani mbali mbali toka kwa wasanii waliotumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa jana. |
| Mashabiki |
| IMOOOOOOOOOOOOOOO |
| Shanngwe zikiendelea katika uwanja wa Taifa wakati Tamasha la Tigo Fiesta likiendelea usiku wa jana Mjini Kahama. |
Post a Comment