PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: HABARI PICHA-SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA KAMPUNI YA BRITAM INSURANCE COMAPANY
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni ya Bima ya Britam Insurance Company Afisa Mkuu wa   Kampuni ya B...
Baadhi ya washiriki wakiwa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni ya Bima ya Britam Insurance Company

Afisa Mkuu wa  Kampuni ya Bima Britam   Stephen Lokonyo  Akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni ya Bima ya Britam Insurance Company

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo  Akizungumza kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni ya Bima ya Britam Insurance Company

Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo (kulia) akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni ya Bima ya Britam Insurance Company kushoto wa kanza ni Afisa Mkuu wa  Kampuni hiyo  nchini Tanzania  Stephen Lokonyo  na watatu kushoto ni Mmoja kati ya Wakugenzi Stephen Wandera .Picha na Ferdinand Shayo

Picha ya Pamoja ya Wakurugenzi na Wafanyakazi katika maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni ya Bima ya Britam Insurance Company

Mmoja kati ya Wakugenzi Stephen Wandera akikabidhi zawadi kwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mrisho Gambo  katika maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni ya Bima ya Britam Insurance Company.

About Author

Advertisement

Post a Comment

Top