PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: NDOTO ZA Samwel Sitta ZAYEYUKAA!!! KAMATI KUU YA CCM YAMKATA JINA LAKE KUWANIA Uspika
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
MKONGWE wa siasa ambaye aliyekuwa Spika wa bunge la tisa, Samuel Sitta ambaye alikuwa wakiwania nafasi ya uspika katika B...

MKONGWE wa siasa ambaye aliyekuwa Spika wa bunge la tisa, Samuel Sitta ambaye alikuwa wakiwania nafasi ya uspika katika Bunge la 11, Kamati Kuu ya (CCM) imelikata rasmi jina lake licha ya kufanya kampeni mapema juzi kwenye viwanja vya Bunge.

Akitangaza majina yaliyopitishwa na kamati kuu Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema katika halmashauri hiyo imeyapitisha majina matatu ambayo ni Job Ndugai, Abdullah Ally Mwinyi na Tulia Akson.

Nape amesema kesho saa nne asubuhi majina hayo yatapelekwa yawasilishwa kwa wabunge wa CCM kwa ajili ya kupitisha jina la mgombea mmoja ambaye atagombea nafasi hiyo na wakambi ya upinzani.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top