PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: KITAMBI NOMA WAJINYAKULIA KOMBE LA TAMASHA LA AMANI NA UTALII LILILOFANA JIJINI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Ndugu Philemon Olais MOLLEL maarufu kwa jina la MONABANI mwenye suti nyeusi akiwa na mratibu wa tamasha la Amani na Utalii MUSSA JUMA mwe...
 Ndugu Philemon Olais MOLLEL maarufu kwa jina la MONABANI mwenye suti nyeusi akiwa na mratibu wa tamasha la Amani na Utalii MUSSA JUMA mwenye suti ya michezowakishuhudia mchezo wa mpira migu katika tamasha la amani na utalii  lililofanyika katika viwanja vya General Tyre njiro jijini Arusha mwishoni mwa wiki

 mgeni rasmi bwana MONABANI akizindua tamasha la Amani na utalii lilifanyika katika viwanja vya General Tyre jijini Arusha hivi karibuni


 akikagua timu za pepsi na wazee club zilizoshiriki katika tamasha hilo

Bwana MONABAN  akisalimiana na wachezaji wa timu ya wazee club

 Mratibu wa tamasha hilo MUSSA JUMA akizungumza na hadhira iliyohuzuria tamasha hilo weekend hii

 Mratibu wa tamasha hilo Bwana ANDREA NGOBOLE akizungumza na hadhira iliyoshiriki tamasha hilo juu ya michezo inayoendelea uwanjani hapo

Waamuzi wa michezo iliyafnyika katika tamsha hilo wakijadilianan jambo kabla ya mchezo kuanza

Mchezo wa netball kati ya wazee club queens na AJTC Queens ukiendelea katika tamasha hilo



kiongozi wa wazee club akikabidhiwa cheti na mgeni rasmi wa tamasha hilo la amani na utalii

wachezaji na mashabikinwa timu ya kitambi noma wakishangilia na kunyanyua juu kombe la ushindi wa tamasha la amani na utalii lililofanyika katika viwanja vya General Tyre mwishoni mwa week


 mashabiki wa timu ya Kitambi noma wakishangilia ushindi wa timu yao katika mashindano ya tamsha la Amani na Utalii


 Mwenyekiti wa kamati ya Amani mkoa wa Arusha bwana AHAMU akikabidhi kikombe kwa mabingwa wa tamasha hilo timu nya kitambi noma iliyojinyakulia pointi 7 katika michezo hiyo iliyoendeshwa kwa mfumo wa ligi

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top