PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Hatari: Nyangumi Akutwa Amekufa Ufukwe wa Coco, Wananchi Wachangamkia Kitoweo na Mafuta
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Watanzania nadhani tuna matatizo sana, mtu mwenye akili timamu katika hali ya kawaida huwezi kuta mnyama amekufa ukakimbi...

Watanzania nadhani tuna matatizo sana, mtu mwenye akili timamu katika hali ya kawaida huwezi kuta mnyama amekufa ukakimbilia kumfanya kitoweo bila ruksa ya daktari wa mifugo au mamlaka husika. Hata kwenye machinjio yetu lazima daktari athibitishe kuwa kitoweo ni salama kwa matumizi ya binadamu.


About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top