PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: Picha 6 za Edward Lowassa Mbele ya Wananchi wa Babati na Mto wa Mbu Oct 2.
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA Edward Lowassa October 2 2015 alisimama ...

l2
Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA Edward Lowassa October 2 2015 alisimama mbele ya Wananchi wa Jimbo la Babati Mjini katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Kwaraha, Babati Manyara.
L1
l3
l4
l5
l6
Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Monduli kwa Chadema kupitia mwamvuli wa UKAWA, Julius Karanga, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa Barafu, Mto wa Mbu, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top