PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: MTANDAO WA WANAWAKE WAZINDUA ILANI YA UCHAGUZI JIJINI DAR
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
 Mkurungenzi Mtendaji wa Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA) Edda Sanga akizungu...






 Mkurungenzi Mtendaji wa Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA) Edda Sanga akizungumza na wananchi juu ya uzinduzi wa ilani ya uchaguzi ya mtandao wa wanawake na katiba na uchumi  jijini Dar es Salaam.


Mkurungenzi Mtendaji wa Chama cha waandishi wa habari wanawake (TAMWA) Edda Sanga akizidua ilani ya uchaguzi ya mtandao wa wanawake na katiba na uchumi  jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi (katikati) akiwa na wanawake walioshika mabango ya ujumbe mbalimbali katika uzinduzi wa ilani ya uchaguzi ya mtandao wa wanawake na katiba na uchumi  jijini Dar es Salaam.


Mgombea uraisi kupitia chama cha ACT Wazalendo, Anna Ng’hwira akishangiliwa na wanawake walifika katika uziduzi huo  jijini Dar es Salaam.


Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Lilian Liundi akizungumza na waandishi wa habari juu ya wanawake wapiga kura wakatae kuuza haki zao kwa kurubuniwa na vyama, viongozi au watu wenye uchu wa madaraka na tabia ya kuzalilisha wapiga kura wao  jijini Dar es Salaam.


 Mjumbe wa serikali ya kijiji cha Nainokanoka Arusha akizungumza na waandishi wa habari juu ya matumizi ya lugha ya kashfa hasa zenye kudhalilisha wagombea wa kike wenye ulemavu na changamoto nyingine.


Sehemu ya wananchi walihudhulia uzinduzi huo  Jiji Dar es Salaam

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top