PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: OFISA MTENDAJI MKUU DAWASCO,MHANDISI CYPRIAN LUHEMEJA AAGA RASMI MUWSA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,( MUWSA ) ambaye kwa sasa ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,( MUWSA ) ambaye kwa sasa ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco,Mhandisi Cyprian Luhemeja akimkabidhi Kaimu Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Patrick Kibasa ,karatasi zenye ndoto za wafanyakazi wa Mamlaka hiyo hukuakimtaka kuzifanyia kazi.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao maalumu kwa ajili ya kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo.
Ofisa Mtendaji mkuu wa DAWASCO ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWASA pindi alipokutana nao kwa ajili ya kuaga rasmi katika ofsi yake hiyo ya zamani aliyokuwa Mkurugenzi.
Meneja rasilimali watu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi ,Michael Konyaki (kushoto) akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Patrick Kibasa wakati wa kikao cha kuagana na aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka hiyo,Mhandisi Cyprian Luhemeja.
Meneja Fedha wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi ,Joyce Msiru (kulia) akiwa na Meneja Biashara  wa MUWSA,John Ndetiko wakati wa kikao cha kuagana na aliyekuwa mkurugenzi wa Mamlaka hiyo,Mhandisi Cyprian Luhemeja
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,Mhandisi ,Patrick Kibasa akizungumza katika kikao hicho.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na uSAFI WA Mazingira mjini Moshi,MUWSA.
Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi TUICO tawi la Muwsa,Maulid Barie akizungumza kwa niaba ya wafanyakazi wakati wa kikao cha kuagana na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo,Mhandisi ,Cyprian Luhemeja aliyehamishiwa Dar es Salaam kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu wa DAWASCO.


Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA,wakiwa katika kikao hicho.
Meneja Biashara wa MUWSA,John Ndetiko akitoa neon la shukrani katika kikao hicho.
Wafanyakazi wa MUWSA.
Mhandisi Luhemeja akiagana na wafanyakazi wa MUWSA.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
 

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top