Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa amgeni rasmi katika semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini akifungua rasmi semina hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa hotuba yake wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini.
Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Beki ya CRDB, Tully Mwambapa
akimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles
Kimei kutoa hotuba yake wakati wa semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya.
Mkurugenzi
wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Beki ya CRDB, Tully Mwambapa
akiwaongoza wageni waalikwa kuimba wimbo maalumu wa Benki hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifurahia jambo na Waziri
wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) wakati wa semina
ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu
Kusini iliyofanyika jijini Mbeya. Kushoto ni Mkuu Kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Mbeya, Nyirembe Munasa.
Baadhi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB wakiwa katika semina ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyofanyika jijini Mbeya
Baadhi
ya washiriki wa semina ya viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za
Juu Kusini iliyofanyika jijini Mbeya wageni wakiimba wimbo maalumu wa
Benki hiyo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo kwa
Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe ambaye alikuwa Mgeni
Rasmi katika halfa ya Benki ya CRDB kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda
za Nyanda za Juu Kusini
Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe akizungumza na waandishi wa habari.
Baadhi
ya washiriki wa semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa viongozi wa
Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyofanyika jijini Mbeya.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akiwa katika picha ya
pamoja na Meneja wa CRDB tawi la Mbalali, Chibby Chibby (katikati) na
Meneja wa tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwilla.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkaribisha Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Nyirembe Munasa wakati wa semina
kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini
iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya. (Picha na
Francis Dande)
Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Nyirembe Munasa (kulia) akibadilishana mawazo na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei wakati wa semina
kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini
iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya. Katikati ni
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwilla.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akibadilishana mawazo
na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Nyirembe Munasa (kulia) wakati wa semina
kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini
iliyoandaliwa na benki hiyo na kufanyika jijini Mbeya. Katikati ni
Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Mwanjelwa, Ephraim Lwilla.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkaribisha mgeni rasmi
Waziri wa Afrika Mashariki Dk. Harrison Mwakyembe katika semina kwa viongozi wa Halmashauri za Kanda za Nyanda za Juu Kusini iliyoandaliwa na benki hiyo.
Post a Comment