PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: VIONGOZI WA DINI WAMUOMBEA DUA RAIS KIKWETE IKULU, DAR ES SALAAM
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
  Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea jioni hii Iku...


 Viongozi wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea jioni hii Ikulu jijini Dar es Salaam.
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Freddy Maro

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top