PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: YANGA YAMLETA MBRAZILI MWINGINE EMERSON DE OLIVERIA NEVES ROUQE ATUA DAR LEO KWA MAJARIBIO
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
    Nyota mpya wa Klabu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam, anayekuja kufanya majaribio ya kuziba nafasi ya Mbrazili mwenzake Gen...

  

Nyota mpya wa Klabu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam, anayekuja kufanya majaribio ya kuziba nafasi ya Mbrazili mwenzake Genlson Santos 'Jaja', Emerson De Oliveria Neves Rouqe akitoa ishara ya dole mara baada ya kuwasili uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi wa Yanga. Rouque aliwasili na Kocha mkuu wa Yanga, Marcio Maximo pamoja na Nyota mwingine kutoka Brazili  Andrew Coutinho.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top