PRINCE MEDIA TZ PRINCE MEDIA TZ Author
Title: WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA KONGAMANO LA UFUGAJI NYUKI ARUSHA
Author: PRINCE MEDIA TZ
Rating 5 of 5 Des:
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa jamii ya Wadzabe kutoka wilayani Karatu,mkoa wa Arusha   wakati wa Ko...

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na wananchi wa jamii ya Wadzabe kutoka wilayani Karatu,mkoa wa Arusha   wakati wa Kongamano la siku tatu  la  Wadau wa Ufugaji Nyuki  barani Afrika na Mazao ya  Asali  linalofanyika  jijini Arusha.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua  mazao yanayotokana na ufugaji wa Nyuki kwenye banda la Wajasiriamali kutoka  wilayani Kibondo mkoa wa Kigoma.

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza  jambo na Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu  leo wakati  akikagua mabanda ya wajasiriamali kwenye  Kongamano la siku tatu  la  Wadau wa Ufugaji Nyuki  barani  Afrika na Mazao ya  Asali  linalofanyika  jijini Arusha.

Wadau kutoka maeneo mbalimbali nchi wakionesha bidhaa zao zinazotokana na Ufugaji Nyuki  na mazao yake  likiwa na lengo la kutunza mazingira na kukuza uchumi.

Wadau kutoka maeneo mbalimbali nchi wakionesha bidhaa zao zinazotokana na Ufugaji Nyuki  na mazao yake  likiwa na lengo la kutunza mazingira na kukuza uchumi.

Maafisa wa Shirika la TBS linalohakiki ubora wa bidhaa mbalimbali wakiwa miongoni mwa washiriki ili kuhakikisha ubora wa bidhaa za wajasiriamali.

About Author

Advertisement

Post a Comment

 
Top